Uaminifu ni moja ya tabia muhimu sana katika maisha ya kiroho hasa katika eneo la ukuaji wa kiroho wa mtu.
Tabia hii imekuwa adhimu sana kwa kanisa la sasa, ni tabia isiyosisitizwa sana katika mafundisho ya kanisa, lakini ndiyo tabia iliyobeba ongezeka, ukuaji, ustawi wa mwamini.
watu wengi wemeikosa hii tabia, na matokeo yake, kanisa linatembea kwenye uvuguvugu wa imani. kwahiyo kama matokeo yake, kanisa linadumaa na kukosa matokeo ya wokovu.
wengi hudhani, kuna siku ya kuanza uamnifu, au kudumisha uaminifu. hivyo kuishi kwa kutokuwa waaamifu imekuwa ni sehemu ya maisha yao.
lakini ukweli uaminifu unaanza kujengwa
aminifu unajenga katika kitii, kutekeleza, kusimamia mambo madogo madogo,
“Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia.” Luka 16:10